Saturday, October 7, 2017

ZIJUE TARATIBU ZA UWEKAJI WIRING YA UMEME WA NYUMBANI WAKATI WA UJENZI



Kama upo TANZANIA  na unashida ya kutatuliwa tatizo lolote linalohusu umeme kwenye nyumba unayojenga/uliyojenga tutafute kwa namba +255716762015(ENGINEER)  AU 0715751443(TECHNICIAN) na TUTAKUJA SEHEMU ULIPO

 

Habari za  wakati mpendwa msomaji! tunatumaini umzima wa afya na unaendelea na majukumu yako ya kila siku.
Katika ujenzi kila kazi/kitu kina muda wake mfano huwezi peleka mabati kwenye eneo unalojenga(site) wakati ndiyo kwanza unachimba msingi hivyo basi hata mfumo wa umeme unamuda wake.
Kumbuka: Lengo la kukuwekea mada hii ni kukupa a,b,c.. wewe unayefikiria kujenga au umeshajenga sasa unataka kufanya marekebisho(maintenance).


MKOMBOZI AFRICA





JE, UNAHITAJI USHAURI,UNATATIZO LOLOTE LINALOHUSU UMEME AU VIFAA VYA UMEME,JE UNAHITAJI VIFAA BORA NA IMARA VYA UMEME KWA AJIRI YA AJIRI YA NYUMBA YAKO AU OFFICE YAKO, JE, UNAHITAJI HUDUMA YA EMERGENCY NYUMBANI AU OFFICE YAKO??

Ungana na watu zaidi 500,000  waliowahi na wengine wanaendelea kufanya kazi na sisi za kununua material na  vifaa bora vya umeme, ushauri bora wa kitaalamu kutoka kwa maengineer wetu,wanafanyiwa kazi mpya, wanafanyiwa ukarabati mzuri wenye kiwango bora kwenye nyumba zao
kutoka kwetu MKOMBOZI AFRICA, kama unahitaji  huduma zetu zilizo bora  kila siku wewe wasiliana nasi kwa  
namba za simu  0716762015 au 0715751443
whatsappp namba 0716762015 au unaweza kututumia  e mail  kwenda e mail yetu inaitwa makinspire8t@gmail.com 
>>VIWANGO VYA KAZI ZETU NI BORA NA VYA UHAKIKA NA KUAMINIKA
>>   Ili kuwa karibu na habari zetu Usisahau  kulike FACEBOOK page yetu inaitwa  MKOMBOZI AFRICA ili kupata habari zote kila wakati tunapoziweka hapa au  click hapa kulike page yetu

Wakati wa kuanza kuweka mfumo wa umeme kwenye nyumba.
Baada ya mchoro wa umeme kukamilika (electrical drawing) unaoonesha jinsi mfumo wa umeme utakavyopita kwenye nyumba yako, mfumo huu unaanza kuwekwa katika ngazi zifuatazo; 
 
Mfano wa mchoro wa umeme
  • Kabla ya kupiga lipu(plaster) – Huu ndiyo wakati wa awali kabisa wa kuanza kuweka mfumo wa umeme ambapo mafundi umeme hupitisha mabomba na vibox vya kuwekea switch,socket na distribution box (db).
Jinsi mabomba ya umeme yanavyopitishwa
  • baada ya kufanya umaliziaji(finishing) ya ukuta na kuweka ceiling/gypsum board – wakati huu ndiyo wa mwisho kumalizia kuweka(install) mfumo wa umeme ambapo mafundi umeme wanapitisha nyaya na kupachika taa, switch, socket, nk .
  •  
switch

Kumbuka: kama utaratibu huu hautafuatwa basi itabidi mafundi umeme watindue ili kupitisha mabomba wakati umeshafanya umaliziaji (finishing).

Kama upo TANZANIA  na unashida ya kutatuliwa tatizo lolote linalohusu umeme kwenye nyumba unayojenga/uliyojenga tutafute kwa namba +255716762015(ENGINEER)  AU 0715751443(TECHNICIAN) na TUTAKUJA SEHEMU ULIPO

USIPITWE: Endelea kuwa nasi kwa taarifa hizi na nyingine 


MKOMBOZI AFRICA 


OFFICE  ZETU.


Tunapatikana  maeneo  ya  UNGINDONI-KIGAMBONI-DAR  ES  SALAAM (KARIBU NA STENDI YA DARA DARA  ZA  UNGINDONI)  AU  WASILIANA NASI  KWA ANUANI ZIFUATAZO.

SIMU>>0715-751443 (TECHNICIAN).

            0716-762015 (ELECTRICAL ENGINEER).

          E mail>>makinspire8t@gmail.com

 HUDUMA ZETU.
  •  Usambazaji wa vifaa vya umeme vya aina zote. 
  • Electrical installation (wiring za nyumba  za  aina  zote). 
  • Uchoraji ramani za wiring ya aina zote za nymba. 
  • Tunatoa  hudama  za ushauri wa kitaalamu kuhusu  umeme kiujumla. 
  • Tunafanya marekebisho/matengezo ya vifaa vya umeme  vya aina zote. 
  • Tunafanya  marekebisho  ya  wiring za zamani au zilizochoka za nyumba  za aina zote. 
  • Tunafunga  CCTV  camera. 
  • Ufungaji wa vifaa vya solar na uuzaji wa vifaa solar 
  • Tunafunga automation system za aina zote.
  •    Ili kuwa karibu na habari zetu Usisahau  kulike FACEBOOK page yetu inaitwa  MKOMBOZI AFRICA ili kupata habari zote kila wakati tunapoziweka hapa au  click hapa kulike page yetu
  • Umalizapo kusoma tafadhari sana unaombwa kushare kwa wengine ili wapate kuomba maana kazi ni muhimu.
                              MKOMBOZI AFRICA        
Suluhisho la elimu ya umeme Tembelea ➦➥ mkombozi africa
 Tahazari⇶ usifanye kazi za umeme kama huna utaaramu nayo, umeme ni hatari

0 comments: